Ukurasa huu una linki za kukupeleka kwa akaunti za mitandao ya kijamii duniani ya Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP) katika lugha 6 rasmi za Umoja wa Mataifa (Kiarabu, Kichina, Kiingereza, Kifaransa, Kirusi na Kihispania) pamoja na Kiswahili na Kireno.
Fuatilia kazi yetu ya kushughulikia changamoto za aina tatu duniani za mabadiliko ya tabianchi, uharibifu wa mazingira na bayoanuai, na kemikali, uchafuzi na taka.
Uongozi
Mkurugenzi Mtendaji Inger Andersen kwa Twitter - @andersen_inger, na kwa LinkedIn - @Inger Andersen
Naibu wa Mkurugenzi Mtendaji, Elizabeth Maruma Mrema kwa Twitter - @mremae
KUMBUKA: Orodha ya hapo juu sio kamilifu. Kuna akaunti nyingine maalum pia humilikiwa na vitengo mbalimbali vya UNEP.
Kanusho
Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP) halikuhakikishii ukweli, usahihi, au uhalali wa maoni yoyote yanayotolewa kwenye akaunti zake ya mitandao ya kijamii (blogu, mitandao ya kijamii, majukwaa/maeneo ya jumbe, n.k.). Watumiaji wasichapishe maudhui yoyote ambayo ni pujufu, ya kuharibia jina, maneno machafu, kashfa, vitisho, unyanyasaji, matusi, chuki au aibu kwa mtu au taasisi yoyote. UNEP ina haki ya kufuta au kuhariri maoni yoyote ambayo yanaweza kuchukuliwa kuwa yasiyofaa au yasiyokubalika. Kikosi cha mitandao ya kijamii cha UNEP pia kinaweza kufuta maoni nje ya mada zinazojadiliwa kwenye ukurasa huu.
Ni asilimia 12 tu ya miji ambayo imeweka sheria za kulinda ubora wa hewa zinazotimiza viwango vya WHO (Shirika la Afya Ulimwenguni)