Ukuaji huu wa uchumi, licha ya kuinua watu wengi kutoka kwa umaskini, umesababisha uharibifu mkubwa kwa mazingira, uharibifu ambao unaathiri binadamu vibaya. Changamoto yetu ni jinsi ya kudumisha na kukuza maendeleo ya karne mbili zilizopita kwa njia endelevu.
Katika eneo la Asia Pasifiki, Afisi ya eneo la Asia na Pasifiki ya Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa inafanya kazi katika ngazi ya kanda, ukanda, na ya kitaifa kuwezesha majadiliano na ubia ili kushughulikia mazingira vizuri.
Afisi ya eneo la Asia na Pasifiki ya Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa inapatikana Bangkok. Tuna afisi ya kitaifa kule Beijing na afisi ya ukanda kule Samoa, pia tunapatikana katika nchi zingine kupitia miradi ya kitaifa ikiwa ni pamoja na Programu ya UN-REDD na Mradi wa Umaskini na Mazingira. Afisi ya eneo la Asia na Pasifiki pia ni mwenyeji wa sekretarieti za Mashirika yafuatayo:
Afisi ya eneo la Asia na Pasifiki ya Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa
2nd Floor, Block A, UN Building
Rajdamnern Avenue, Bangkok 10200