Showing 1 - 7 of 7
7 matokeo yaliyopatikana
Kata rufaa kwa viongozi wa dunia, wahimize jiji lako, benki yako na mwajiri wako kuchukua hatua za haraka kuhusu utoaji wa hewa sifuri.
Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa lilizindua kampeni ya #CleanSeas mwezi wa Februari mwaka wa 2017, na lengo la kushirikisha serikali, umma, mashirika ya uraia na sekta ya binafsi kukabiliana na uchafuzi wa plastiki. Kwa kipindi cha miaka mitano ijayo, kampeni hiyo itashughulikia chanzo kikuu cha uchafuzi baharini kwa kulenga uzalishaji na matumizi na plastiki inayotumika tu mara moja.
A global campaign using creativity to accelerate climate and ocean action
Tuzo la Mabingwa wa Dunia linalotolewa na UNEP ni tuzo Mazingira ya hadhi ya juu duniani. Tangu mwaka wa 2005, tumetuza mashujaa ambao hushawishi na kuhimiza wenzao kujiunga nao kuhamasisha kuhusu matumizi ya nishati isiyochafua mazingira katika siku zijazo.
Mabadiliko ya tabia nchi ni swala nyeti katika kipindi hiki na huu ndiyo wakati mwafaka wa kulishughulikia. Bado tuna mda wa kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi, lakini tutahitaji juhudi nyingi kutoka kwa sekta zote katika jamii.
Sisi hutemea mifumo zizuri ya ekolojia kupata chakula, nishati na maji. Inapoendelea kuharibiwa, mabadiliko ya tabianchi hutokea na kuhatarisha ekolojia. Uharibifu huwa utakuwa hatari mno kwa sayari yetu na changamoto kubwa kwa kufikia Malengo ya Maendeleo Endelevu ya Umoja wa Mataifa. Ni wakati wa kuimaricha kilichoharibika.
Siku ya Mazingira Duniani ni siku ya Umoja wa Mataifa ya kuhimiza ufahamu duniani kote na hatua za kulinda mazingira yetu. Tangu ianze mwaka wa 1974, tukio hilo limekua na kuwa jukwaa la kimataifa la kufikia umma ambalo linaadhimishwa sana katika nchi zaidi ya 100.